1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Iraq

Iraq, ambayo ni nyumbani kwa baadhi ya ustaarabu wa mwanzo kabisaa, iligeuka uwanja wa vita kwa vikosi hasimu baada ya uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo mwaka 2003, uliomuondoa madarakani Saddam Hussein.

Serikali zinazoongozwa na Washia zilizofuatia uvamizi huo zimekuwa zikipambana na kudumisha utulivu, na nchi hiyo imekuwa ikishuhudia vurugu za mara kwa mara za kidini. Katika ukurasa huu DW itakukusanyia maudhui za karibuni zaidi kuhusu Iraq.

Onesha makala zaidi