BAGHDAD: Shambulio la kujitolea muhanga limeua askaripolisi | Habari za Ulimwengu | DW | 11.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

BAGHDAD: Shambulio la kujitolea muhanga limeua askaripolisi

Si chini ya askaripolisi 12 wameuawa na 40 wengine wamejeruhiwa katika shambulio la kujitolea muhanga lililofanywa mji wa Tikrit, alikotokea rais wa zamani wa Irak,marehemu Saddam Hussein. Maafisa wa polisi wamesema, mshambuliaji huyo aliripua lori la chakula cha mifugo lililojazwa miripuko.Shambulio hilo lilifanywa nje ya kituo cha polisi cha Ad-Dawr na jengo zima liliteketezwa.Wakati huo polisi wengi walikuwa wakienda kazini.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com