Baba Mtakatifu Benedict wa 16. | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 26.10.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Baba Mtakatifu Benedict wa 16.

Baba Mtakatifu Benedict wa 16 amesema atafanya ziara barani Afrika mwaka ujao.

Baba Mtakatifu Benedict wa 16 kufanya ziara barani Afrika mwaka ujao.

Baba Mtakatifu Benedict wa 16 kufanya ziara barani Afrika mwaka ujao.

Vatican City.

Baba Mtakatifu Benedict wa 16 atazitembelea Cemeroon na Angola katika ziara yake ya kwanza barani Afrika tokea awe mkuu wa kanisa katoliki mwaka 2005

Baba Mtakatifu amesema akiwa nchini Cameroon atawasilisha matokeo ya mkutano wa baraza la maaskofu uliojadili Afrika na nchini Angola atashiriki katika maadhimisho ya miaka 500 ya injili nchini humo.

 • Tarehe 26.10.2008
 • Mwandishi Mtullya, Abdu Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Fh6C
 • Tarehe 26.10.2008
 • Mwandishi Mtullya, Abdu Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/Fh6C
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com