ABUJA.wafanya kazi saba wa kigeni watekwa nyara | Habari za Ulimwengu | DW | 22.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

ABUJA.wafanya kazi saba wa kigeni watekwa nyara

Khaled al Masri raia wa Ujerumani wa nasaba ya Lebanone ni mmojawapo wa watuhumiwa wa ugaidi aliewahi kushikiliwa na kudai kuteswa katika magereza ya CIA yalioko nchi za nje.

Khaled al Masri raia wa Ujerumani wa nasaba ya Lebanone ni mmojawapo wa watuhumiwa wa ugaidi aliewahi kushikiliwa na kudai kuteswa katika magereza ya CIA yalioko nchi za nje.

Watu waliojihami kwa bunduki wamewateka nyara wafanyakazi saba wa kampuni ya mafuta inayomilikiwa na kampuni ya nishati ya Italia ENI.

Visa vya utekaji nyara vimekithiri nchini Nigeria katika eneo la Niger Delta ambako raia wanahisi kuwa hawafaidiki kutokana na utajiri wa mali asili.

Watalaam kadhaa katika sekta ya mafuta wamekuwa wakitekwa nyara nchini Nigeria katika kipindi cha mwaka mmoja.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com