Zanzibar yatangaza Baraza jipya la Mawaziri
16 Novemba 2010Matangazo
Taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Zanzibar jana ilieleza kuwa uteuzi wa mawaziri hao unaanza kufanya kazi mara moja na kwamba wataapishwa leo jioni katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Hivi punde Grace Kabogo alizungumza na mwandishi habari wa huko Zanzibar, Salim Said Salim, na kwanza nilimuuliza wananchi wamelipokeaje baraza hilo jipya?
Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Salim Said Salim
Mhariri: Othman Miraji