Zanzibar yakubaliwa uanachama CAF | Media Center | DW | 16.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Zanzibar yakubaliwa uanachama CAF

Hatimaye Zanzibar imekubaliwa uanachama wa shirikisho la soka barani Afrika CAF. Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte ashinda uchaguzi mkuu na Mahakama ya jimbo la Hawaii nchini Marekani imezuia marufuku mpya ya rais Donald Trump. Papo kwa Papo 16.03.2017.

Tazama vidio 02:24
Sasa moja kwa moja
dakika (0)