1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Boris Johnson

Alexander Boris de Pfeffel Johnson ni mwanasiasa wa Uingereza, mwandishi habari na mwanahistoria maarufu. Alikuwa mbunge na meya wa London (2008 - 2016), waziri wa mambo ya nje (2016 - 2018) na waziri mkuu wa sasa.

Boris Johnson alikuwa moja ya vinara wakuu wa kampeni ya kuitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya ambayo ilifikia tamati kwa kura ya maoni ya 2016 ambapo upande uliounga mkono kuondoka kwa taifa hilo kutoka Umoja wa Ulaya ulishinda. Johnson ni waziri mkuu wa Uingereza, na ameahidi kuitoka nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya, kuwepo na muafaka au la. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kumhusu mwanasiasa huyo matata.

Onesha makala zaidi