Wazee wa msichana alietoweka warudi Uingereza | Habari za Ulimwengu | DW | 09.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wazee wa msichana alietoweka warudi Uingereza

LONDON:

Wazee wa kingereza wa msichana wa umri wa miaka 4-Kate na mumewew garry McCann wamerudi leo nyumbani uingereza kutoka Ureno ambako wametangazwa rasmi ni washukiwa katika kisa cha kutoweka kwa mtoto wao huyo.Ndege yao ilitua huko East midlands,karibu na nyumbani mwao alaasiri ya leo.Jamaa hao wangali wakikanusha kuhusika na kutoweka kwa mtoto wao .

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com