Licha ya kumalizika kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na serikali ya Uganda kutishia kuwafukuza, bado wakimbizi wa Kinyarwanda walioko Uganda hawajaamini kwamba ni salama kwao kurudi nyumbani kwao.
https://p.dw.com/p/Rp4u
Matangazo
Leila Ndinda ametembelea makambi ya wakimbizi wa Kinyarwanda walioko nchini Uganda na hapa anazungumzia hatima na majaaliwa yao.