1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Joseph Kony

Joseph Rao Kony ndiye kiongozi wa kundi la Lord's Resistance Army LRA, kundi la waasi ambalo zamani lilikuwa linaendesha operesheni zake nchini Uganda.

Kundi la LRA lilianzishwa mwaka 1987 baada ya kiongozi mwenye imani ya kishirikina Alice Auma Lakwena, kuunda kundi la waasi dhidi ya Yoweri Museveni aliyekuwa kiongozi mpya wakati huo. Mwaka uliofuata, Joseph Kony, aliyetambulishwa kama binamu wa Lakwena alichukua nafasi ya uongozi wa kundi hilo na ndipo likapewa jina la LRA likiwa na mkakati wa kutawala kwa kufuata amri kumi za Biblia.

Onesha makala zaidi