1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi Uganda 2021

Raia wa Uganda wanajiandaa kwa uchaguzi mkuu Januari 14 huku rais wa muda mrefu Yoweri Kaguta Museveni akiwania muhula mwingine.

Museveni anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa hasimu wake kisiasa mgombea wa upinzani Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine. Uchaguzi wa Uganda unakabiliwa na mtihani mkubwa kutokana na janga la virusi vya corona. Tume ya uchaguzi imetoa angalizo kwa wagombea wote kuzingatia taratibu za afya kuepusha kuenea kwa maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi hivyo.

Onesha makala zaidi