1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Idomeni

Idomeni ni kijiji kilichopo karibu na mlima wa Kouri, kaskazini mwa Ugiriki. Kinaingia katika ukinga wa magharibi wa mto Axion, karibu ni mpaka wa jamhuri ya zamani ya Yugoslavia, ya Macedonia.

Tangu 2014 wakimbizi kutoka Syria, Afghanistan, Pakistan na mataifa mengine ya Mashariki ya Kati walianza kumiminika Idomen ili kuvuka mipaka ya Ugiriki na kuingia Macedonia. Wakimbizi wanapendelea njia hizi ili kuweza kufika mataifa kama Ujerumani, wakiingia tena eneo la Schengeni kutokea Serbia.

Onesha makala zaidi