1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Martin Okoth Ochola

Martin Okoth Ochola ni afisa wa jeshi la polisi nchini Uganda, ambaye kwa sasa ni Inspekta Jenerali Mkuu wa jeshihilo, hiki kikiwa ndiyo cheo cha juu kabisaa katika jeshi la polisi.

Alirithi nafasi hiyo kutoka kwa Jenerali Kale Kayihura, na kabla ya kuteuliwa katika nafasi hiyo, alikuwa naibu wa Kayihura kuanzia Agosti, 2011 hadi alipoteuliwa na Rais Yoweri Museveni kushika wadhifa huo wa juu latika jeshi la polisi.