1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi Uganda yathibitisha kumkamata Sheikh

30 Novemba 2022

Vyombo vya usalama nchini Uganda vimethibitisha kumkamata kiongozi mmoja wa dini ya kiislam baada ya siku kadhaa za kukanusha taarifa za kumshikilia. Kukamatwa kwa sheikh Yahaya Mwanje ni mwendelezo wa wimbi jipya la ukamataji watu kiholela nchini Uganda kama ilivyowahi kushuhudiwa kipindi cha uchaguzi mwaka 2021.

https://p.dw.com/p/4KJU7