1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

NRM

National Resistance Movement (NRM) ndiyo chama tawala nchini Uganda. Kilianza kama chombo cha kisiasa kinachohusiana na jeshi la uasi la National Resistance Army kabla ya kuja kwa Museveni madarakani mwaka 1986.

Hadi kura ya maoni mwaka 2005, Uganda ilikuwa ikiendesha uchaguzi kwa msingi usiyo wa vyama. Baada ya kura hiyo ya maoni vyama vya siasa vilirejeshwa na NRM imekuwa ndiyo chama kinachodhibiti chaguzi zote zinafanyika nchini Uganda. Na mwenyekiti wake amekuwa Yoweri Museveni tangu kilipoasisiwa rasmi. Ukurasa huu utakueletea maudhui za karibuni za DW kuhusiana na chama cha NRM.

Onesha makala zaidi