1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uhamiaji

Waitwe wakimbizi, watafuta hifadhi au wahamiaji, kwa miongo kadhaa watu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakitafuta kupafanya Ulaya kuwa nyumbani.

Migogoro na umaskini ndiyo vimekuwa chachu ya uhamiaji kuelekea Ujerumani na Ulaya na katika mataifa mengine duniani. Matokeo yake ni kwamba wanasiasa wamejadili namna ya kudhibiti uhamiaji na kuwasaidia watu wanaohitaji ulinzi na hifadhi. Huu ni mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu suala zima la uhamiaji.

Onesha makala zaidi