VIENNA: Waziri wa mambo ya ndani wa Austria afariki mkesha wa mwaka mpya. | Habari za Ulimwengu | DW | 01.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

VIENNA: Waziri wa mambo ya ndani wa Austria afariki mkesha wa mwaka mpya.

Jiji la Dar es Salaam palipofanyika Semina ya ukaguzi wa fedha

Jiji la Dar es Salaam palipofanyika Semina ya ukaguzi wa fedha

Waziri wa mambo ya ndani wa Austria, Liese Prokop, amefariki mkesha wa mwaka mpya alipokuwa akipelekwa hopitalini baada ya mshipa wa moyo wake kupasuka.

Duru zinasema waziri huyo mwenye umri wa miaka sitini na mitano alikuwa akishiriki kwenye mazungumzo ya kuundwa serikali mpya kutokana na uchaguzi uliofanywa Oktoba mosi.

Waziri huyo ni mwanachama wa chama cha People’s Party cha kansela anayeondoka madarakani Wolfgang Schuessel.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com