1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Austria

Austria iko barani Ulaya, na ni nchi isiyokuwa na bandari. Imepakana na Ujerumani, Jamhuri ya Czech, Hungary, Slovakia, Slovenia, Italia, Uswisi na Liechtenstein.

Lugha yake rasmi ni Kijerumani, na ina idadi ya watu milioni 8.5. Ni mwanachama wa Shirika la Kujihami la NATO, pamoja na Umoja wa Ulaya. Mji mkuu wa shirikisho la jamhuri la Austria ni Vienna na una wakaazi wengi zaidi kuliko miji mengine ya nchi hiyo ambao ni watu milioni 1.8. Eneo la milima la nchi hiyo la Alps, limegawika katika mikoa tisa tofauti (Bundesländer).

Onesha makala zaidi