1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 24.02.2024

Josephat Charo
24 Februari 2024

Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi kutokana na vita nchini Ukraine. Bunge la Ujerumani laidhinisha jeshi la Ujerumani Bundeswehr kwenda bahari ya Shamu. Na Rais wa zamani wa Tunisia Moncef Marzouki ahukumiwa miaka minane jela.

https://p.dw.com/p/4cpGI