Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mapinduzi ya Arabuni

Vuguvugu la Mapinduzi ya Arabuni lilikuwa wimbi la maandamano dhidi ya tawala za kidikteta za Mashariki ya Kati lililoanza mwishoni mwa mwaka 2010.

Maandamano hayo yalianza Tunisia na kufuatiwa na Misri, Syria, Bahrain, Libya na Saudi Arabia. Waandamanaji waliingia mitaani kupigania uhuru wa kisiasa. Miaka kadhaa baadaye, bado mafanikio yao yanaendelea kuwa ya mashaka.

Onesha makala zaidi