1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kais Saied

Kais Saied ni profesa wa zamani wa sheria ya katiba aliewania kama mgombea binfasi katika uchaguzi wa rais nchini Tunisia 2019 na kuchaguliwa kama rais wa tano wa Tunisia Oktoba 13, 2019.

Saied alikuwa profesa katika chuo kikuu cha Tunis na alistafu 2018. Alihudumu kama Katibu Mkuu wa chama cha Sheria ya Katiba cha Tunisia kati ya 190 na 1995, na amekuwa makamu wa rais wa chama hicho tangu 1995. Saied pia alihudumu kama mkuu wa kitivo cha sheria katika chuo kikuu cha Sousse, kama mtaalamu wa sheria wa Jumuiya ya Mataifa ya Kiarabu na taasisi ya haki za binadamu ya Kiarabu. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Kais Saied.

Onesha makala zaidi