1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Justin Trudeau

Justin Pierre James Trudeau ni mwanasiasa wa Canada anaehudumu kama waziri mkuu wa 23 wa nchi hiyo tangu 2015 na kiongozi wa chama cha Kiliberali tangu 2013.

Trudeau ndiye waziri mkuu mdogo wa pili nchini Canada baada ya Joe Clark; na ndiye wa kwanza kuwa na uhusiano na mtu alieshika wadhifa huo hapo kabla, kwa kuwa ndiye mtoto wa kwanza wa waziri mkuu wa zamani Pierre Trudeau.

Onesha makala zaidi