1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 23.01.2022

23 Januari 2022

Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Ujerumani Kay-Achim Schonbach ajiuzulu, serikali ya Uingereza yaishtumu Urusi kwa kujaribu kuibadilisha serikali ya Ukraine na Rwanda na Uganda zasema zimefanya mazungumzo ya kirafiki kuhusu kuboresha uhusiano

https://p.dw.com/p/45xzK