1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 13.07.2021

13 Julai 2021

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema ghasia zilizosababisha mauaji hazijawahi kushuhudiwa tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi//Serikali ya Marekani imesema inasaidia katika uchunguzi wa mauaji ya Rais wa Haiti, Jovenel Moise//Takribani watu 50 wamekufa na wengine zaidi ya 60 wamejeruhiwa baada ya moto kuzuka katika hospitali inayotumiwa na wagonjwa wa COVID-19 Iraq

https://p.dw.com/p/3wOsQ