1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Democratic Alliance

Democratic Alliance (DA) ni chama cha siasa cha nchini Afrika Kusini, na ndiyo chama rasmi cha upinzani dhidi ya chama tawala cha Africa National Congress (ANC).

Kiongozi wake wa sasa ni Mmusi Maimane, aliechukuwa nafasi hiyo kutoka kwa meya wa zamani wa Cape Town na waziri mkuu wa jimbo la Western Cape Hellen Zille, Mei 10, 2015. Chama hicho kwa ujumla kinafuata siasa za mrengo wa kati, ingawa kimeelezwa kufuata sera za mirengo yote ya kushoto na kulia.

Onesha makala zaidi