Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Julius Malema

Julius Sello Malema ndiye mwenyekiti wa chama cha Economic Freedom Fighters – chama cha kisiasa nchini Afrika Kusini, alichokianzisha Julai 2013.

Huko nyuma alikuwa kiongozi wa tawi la vijana wa chama tawala ANC kuazia 2008 hadi 2012. Alikosana na chama chake kabla ya kutimuliwa na kuanzisha chama cha EFF. Katika ukurasa utapata maudhui za karibuni za DW kumhusu Malema.

Onesha makala zaidi