1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroEthiopia

Je matumaini mapya yemechomoza Ethiopia?

Josephat Charo
11 Novemba 2022

Duru mpya ya mazungumzo kati ya serikali ya Ethiopia na wajumbe wa eneo la Tigray kujadili na kulainisha vipengee muhimu vya mkataba wa kusitisha kabisa mapigano uliosainiwa wiki iliyopita, imefanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

https://p.dw.com/p/4JOFk