1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kenya

Kenya ni nchi ya Afrika Mashariki iliyoko katika Ikweta na kandoni mwa bahari ya Hindi. Inapakana na nchi za Ethiopia, Somalia, Tanzania, Uganda na Sudan. Jina la Kenya lilitokana na mlima Kenya, wa pili kwa urefu Afrika

Mji mkuu wake ni Nairobi, na idadi ya wakaazi wake imekuwa ikiongozeka Kadiri miaka inavyokwenda na sasa inakadiriwa kuwa na watu takribani milioni 45. Kabla ya mwaka 1920 nchi hiyi ilikuwa inafahamika kama Himaya ya Uingereza Afrika Mashariki. Kenya ina kautni 47 na kila inaongozwa na gavana anaechaguliwa na wakaazi wa kaunti hiyo. Pia maeneo ya ubunge au majimbo 210. Miji muhimu ni pamoja na Nairobi, Mombasa, Nakuru, Kisumu, Eldoret, Nyeri, Machakos na Meru.

Onesha makala zaidi