1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika Kusini

Afrika Kusini ni nchi inayokutikana katika ncha ya kusini kabisaa mwa bara la Afrika. Inapaka na bahari za Hindi na Atlantiki, Namibia, Botswana, Zimbabwe, Msumbizi na Swaziland, na inaizunguka nchi ndogo ya Lesotho.

Ni nchi yenye jamii za makabila tofauti na tamaduni, luga na dini tofauti. Ndiyo moja ya mataofa amchache sasa ya Afrika yasiyowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi, na imekuwa ikiendesha uchaguzi kwa karibu karne nzima. Lakini Wafrika Kusini weusi ambao ndiyo wengi zaidi, hawakupata haki ya kupiga kura hadi mwaka 1994.

Onesha makala zaidi