1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Desmond Tutu

Desmond Mpilo Tutu ni kiongozi wa kidini na mwanathiolojia wa Afrika Kusini, maarufu kwa kazi yake kama mwanaharakati wa kupambana dhidi ya ubaguzi wa rangi na utengano - Apartheid na mtetezi wa haki za binadamu.

Tutu alikuwa Askofu mkuu wa Johannesburg kuanzia 1986 hadi 1996, akiwa ndo mtu wa kwanza mweusi kushika nyadhifa hizo. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Aksofu Desmond Tutu.

Onesha makala zaidi