1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Christian Democratic Union (CDU)

Chama cha kisiasa chenye nguvu zaidi Ujerumani, kinachoongozwa kwa sasa na Kansela Angela Merkel. Kimekuwa madarakani kwa muda mwingi tangu kumalizika kwa vita kuu vya pili vya dunia.

CDU iliasisiwa baada ya vita kuu vya pili vya dunia. Watano kati ya makansela wanane walioiongoza Ujerumani tangu mwaka 1949 wanatokea chama cha CDU. Kina wanachama 470,000 na wapigakura wengi Wakristo na wahafadhina, mara nyingi wazee, raia na vile vile wajasiriamali wadogo na wa kati. Katika ukurasa huu utapata maudhui za karibuni za DW kuhusiana na chama cha CDU.

Onesha makala zaidi