1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 10.10.2019

Grace Kabogo
10 Oktoba 2019

Jumuia ya kimataifa yalaani operesheni ya kijeshi inayofanywa na Uturuki nchini Syria dhidi ya Wakurdi//Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel aelezea kusikitishwa na shambulizi katika Sinagogi kwenye mji wa Halle//Chama cha Ennahda kimeshinda katika uchaguzi wa bunge nchini Tunisia, ingawa kimekosa wingi wa viti vinavyohitajika kuunda serikali

https://p.dw.com/p/3R0Mk