SYDNEY:Taa zazimwa katika jiji la Sydney | Habari za Ulimwengu | DW | 01.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SYDNEY:Taa zazimwa katika jiji la Sydney

Taa zilizimwa kwa muda wa saa nzima kwenye maofisi na majumbani katika mji wa Sydney nchini Australia kama ishara ya kuwatanabahisha watu juu ya hatari ya ongezeko la joto duniani.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com