1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Australia

Ni nchi yenye bara pamoja na visiwa ambavyo ni kisiwa cha Tasmania pamoja na vyengine kadhaa vidogo. Sarafu yake ni dola ya Australia, na mji wake mkuu ni Canberra. Mji wake wenye idadi kubwa ya watu ni Sydney.

Inakadiriwa kuwa na idadi ya watu milioni 24, ambao wengi wao wanaishi katika miji ya pwani. Australia ni nchi inayoongozwa kwa muundo wa ufalme wa kikatiba na mfumo wa bunge la serikali. Kabla ya kuhamia Waingereza nchi hiyo ilikuwa ikikaliwa na wakaazi asilia.

Onesha makala zaidi