1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sumatra: Tetemeko la ardhi Indonesia

18 Desemba 2006
https://p.dw.com/p/CCiW

Tetemeko la ardhi limekipiga kisiwa cha Indonesia cha Sumatra leo asubuhi na kuwauwa watu 4. Zaidi ya wengine 100 wamejeruhiwa. Tetemeko hilo liliyapiga maeneo ya magharibi na kaskazini mwa kisiwa hicho likisababisha kuharibiwa nyumba na barabara. Sumatra kiko masharikii mwa eneo linalotajwa kuwa ni lenye kukabiliwa na hatari zaidi ya tetemeko la ardhi duniani