1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kombe la FIFA la Dunia 2018

Kombe la 21 la FIFA la Dunia litafanyika nchini Urusi kuanzia Juni 14 hadi Julai 15, 2018. Limepangiwa kushindaniwa nchini Urusi, baada ya taifa hilo kushinda zabuni ya kuliandaa Desemba 2, 2010.

Hili ndiyo litakuwa kombe la kwanza la dunia kufanyika barani Ulaya tangu mashindano ya mwaka 2006 nchini Ujerumani, na la kwanza kabisaa kufanyika Ulaya Mashariki. Viwanja vyote vya mashindano hayo viko katika sehemu ya Urusi ilioyoko Ulaya, ili kurahisha muda wa kusafiri.Katika ukurasa huu utapa maudhi zote za DW kuhusiana na kombe la Dunia 2018.

Onesha makala zaidi