1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Seif Sharrif wa CUF aizuru London

15 Februari 2010

Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani cha CUF huko Tanzania, Maalim Seif Shariff Hamad, hivi sasa yuko mjini London, Uingereza, ambako huko mwishoni mwa wiki aliwahutubia Watanzania wanaoishi katika mji huo.

https://p.dw.com/p/M1hI
Katibu Mkuu wa CUF Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano uliopita na waandishi wa habari.Picha: Mohamed Abdulrahman/DW

Seif Sharif Hamad anayaelezea madhumuni ya ziara yake ya London muda mfupi baada ya maridhiano ya vyama vya CCM na CUF huko Visiwani Zanzibar.