1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ripoti ya Shirika la haki za binaadamu kuhusu matatizo ya wakaazi wa Somalia

7 Mei 2008

Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu Amnesty International limetoa taarifa kuhusu maafa na matatizo yanayowakabili wakazi wa miji mbali mbali ya Somalia katika muda wa miezi kadhaa iliyopita.

https://p.dw.com/p/DvB2

Ripoti hiyo inaeleza jinsi majeshi ya serikali ya muda nchini Somalia yanayoshirikiana na majeshi ya nchi jirani ya Ethiopia kuwaua kikatili na kuwabaka wanawake na wasichana wadogo katika miji tofauti ya Somalia.Ripoti hiyo ilitolewa jana usiku mjini Nairobi nchini kenya.

Mwai Gikonyo akiwa Nairobi anaarifu zaidi.