Polisi ya Belgiji yazima njama za kumtorosha kutoka gereza mshukiwa wa kundi la Al Qaeda | Habari za Ulimwengu | DW | 21.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Polisi ya Belgiji yazima njama za kumtorosha kutoka gereza mshukiwa wa kundi la Al Qaeda

BRUSSELS:

Wakuu nchini ubelgiji wanasema wamewakata watu 14 kuhusika na njma ya kumtorosha kutoka gereza mshukiwa mmoja wa kundi la Al-Qaeda.Mshukiwa huyo alikamatwa Septemba mwaka wa 2001 kwa kufanya njama za kutaka kuishambulia Marekani.Ulinnzi mkali umeimarishwa.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com