1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Abu Bakar al-Baghdadi

Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).

Mwaka 2014, wanamgambo hao walifanikiwa kuchukuwa sehemu kubwa ya kaskazini mwa Syria na magahribi mwa Iraq na kutangaza “ukhalifa” kwenye eneo wanalolishikilia. Tangu wakati huo, al-Baghadadi amejitambulisha mwenyewe kuwa ni “Khalifa Ibrahim.” Kwa mara ya kwanza, Marekani ilimuweka al-Baghdadi kwenye orodha ya watu wanaoshukiwa kwa ugaidi mwaka 2011, ikitangaza zawadi ya dola milioni 10 (euro milioni 8) kwa atakayesaidia kukamatwa kwake.

Onesha makala zaidi