Mwili wa Wangari Maathai kuchomwa moto.
4 Oktoba 2011Matangazo
Mshindi
huyo wa tuzo ya Nobel alifariki akiwa na umri wa miaka 71 baada ya
kuugua saratani. Kwa mujibu wa uongozi wa Taasisi yake ya
Greenbelt, misa maalum ya binafsi itafanyika siku ya Jumamosi na
miti 5,000 itapandwa kote nchini Kenya kwa heshima yake. Je raia
wa Kenya wanahisia gani kuhusu maombi ya marehemu Profesa
Maathai? Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Nairobi, Alfred Kiti.