Msafara wa Umoja wa Mataifa katika kambi za wakimbizi nchini Kongo
15 Mei 2007
Mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw.William Swing katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, kuzitembelea kambi za wakimbizi nchini humo kujionea hali halisi ilivyo.
https://p.dw.com/p/CHEO
Matangazo
Miongoni mwa kambi hizo ni katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini, kama anavyoripoti mwandishi wetu John Kanyunyu aliyekuweko katika msafara huo.