1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Antonio Guterres

António Manuel de Oliveira Guterres GCC GCL ni mwanasiasa wa Ureno na mwanadiplomasia anaehudumu kwa sasa kama Katibu Mkuu wa tisa wa Umoja wa Mataifa. Zamani alikuwa Kamishna Mkuu wa Shirika la wakimbizi UNHCR.

Guterres alikuwa waziri mkuu wa Ureno kuanzia 1995 hadi 2002 na alikuwa katibu mkuu wa chama cha Kisoshalisti kuanzia 1992 hadi 2002. Alihudumu kama Rais wa vuguvugu la kimataifa la Wasoshalisti kuanzia 1999 hadi 2005. Guterres alizaliwa na kulelewa mjini Lisbon, Ureno, baba yake akiwa Virgílio Dias Guterres (1913 - 2009), na mke wake Ilda Cândida de Oliveira (alizaliwa 1923).

Onesha makala zaidi