1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Auschwitz

Auschwitz-Birkenau ni kambi ya maangamizi iliyotumiwa na Manazi kufanya ukatili dhidi ya Wayahudi. Ilikombolewa January 27, 1945.

January 27, siku ambayo wanajeshi wa Kisovieti waliwakomboa mahabusu walionusurika katika kambi hiyo ya Auschwitz, sasa imetangazwa rasmi kuwa ni “Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Maangamizi Makuu ya Wayahudi.” Takriban mahabusu miloni 1.1 waliuawa katika kambi hiyo, asilimia 90 kati yao wakiwa ni Mayahudi.

Onesha makala zaidi