1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwangaza wa Ulaya: Ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi

16 Novemba 2023

Makala ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii inamulika ongezeko la chuki dhidi ya Wayahudi kwenye mataifa ya magharibi, hususani barani Ulaya. Vitisho, hujuma na mashambulizi vinavyowalenga Wayahudi vimeripotiwa tangu kuzuka kwa mzozo kati ya Israel na kundi la Hamas. Mtayarishaji ni Bakari Ubena.

https://p.dw.com/p/4Yp53