Mlipuko katika ghala la Silaha nchini Tanzania
29 Aprili 2009Matangazo
Huko nchini Tanzania katika jiji la Dar es Salaam taarifa zinasema kuwa ghala moja la jeshi la nchi hiyo limeripuka na kusababisha madhara na taharuki kubwa jijini humo.
Kutoka huko huko Dar es Salaam mwandishi wetu George Njogopa ametutumia taarifa zaidi.
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohamed Abdulrahman