Mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa azuru mashariki mwa Kongo
23 Julai 2010Matangazo
Kamishna mkuu wa shirika linalowashughulikia wakimbizi, UNHCR, Bw Antonio Guteress akiandamana na kiongozi wa shirika la chakula duniani, WFP, Bibi Jossette Sheeran walikizuru kijiji cha Nyanzane wilayani Rituru, Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo kukutana na wakimbizi wa ndani. Ziara hiyo ilifanyika huku mapigano yakishamiri huko Kivu kaskazini. Mwandishi wetu John Kanyunyu anipoti kutoka mashariki mwa Kongo.
Mwandishi: John Kanyunyu
Mpitiaji; Peter Moss
Mhariri, Josephat Charo