Mkutano wa wataalam wa kiuchumi nchini DRC | Masuala ya Jamii | DW | 11.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mkutano wa wataalam wa kiuchumi nchini DRC

Kumeundwa mfuko wa fedha kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la njaa na kuboreshwa kwa sekta ya kilimo kwenye eneo la Afrika ya kati.

Mji wa Kinshasa DRC, palipofanyika mkutano wa kiuchumi

Mji wa Kinshasa DRC, palipofanyika mkutano wa kiuchumi

Mkutano wa siku tatu wa wataalam wa kiuchumi na wawekezaji wa sekta ya kibinafsi kutoka kwenye mataifa 11 ya jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika ya kati walikutana mjini Kinshasa ambako walizungumzia changa moto ya kiuchumi katika nchi za kiafrika.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com