1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Joseph Kabila

Joseph Kabila Kabange ni mwanasiasa wa DRC alieiongoza nchi hiyo tangu tangu Januari 2001. Alichukuwa madaraka siku kumi baada ya kuuawa kwa baba yake, rais Laurent Desire Kabila. Alichaguliwa kuwa rais 2006, na 2011.

Tangu alipoingia madarakani, Joseph Kabila alikabiliwa na vita mashariki mwa nchi yake, na vikosi vya waasi wa ndani vinavyoungwa mkono na mataifa jirani ya Uganda na Rwanda. Joseph Kabila Kabange alizaliwa Juni 4, 1971 katika kijiji kidogo cha Hewabora, katika eneo la Fizi katika mkoa wa Kivu ya Kusini, mashariki mwa Congo. Ni mtoto wa kiongozi wa muda mrefu wa waasi, na rais wa Congo Laurent-Désiré Kabila na Sifa Mahanya.

Onesha makala zaidi