Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali duniani wafanyika mjini Belfast,Ireland | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kiliberali duniani wafanyika mjini Belfast,Ireland

Huko mjini Belfast Ireland ya Kaskazini, kunafanyika mkutano wa Umoja wa Vyama Vya Kiliberali duniani, ambapo wajumbe kutoka takriban vyama 100 kutoka sehemu mbalimbali duniani wanahudhuria.

default

Mwenyekiti wa chama cha CUF Profesa Ibrahim Lipumba yuko Belfast,Ireland Kaskazini

Miongoni mwao ni Rais Abdulaye Wade wa Senegal, Morgan Tsvangirai kutoka chama cha upinzani cha MDC nchini Zimbabwe na Profesa Ibrahim Lipumba mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, ambaye alizungumza na Aboubakary Liongo, kwanza akielezea madhumuni ya mkutano huo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com